Kwa Nini Hajaomba Radhi kwa Uongo Huu?

Aiseee …

wafanyakazi Wacha wasubirie mwishoni mwa July…waone

:stuck_out_tongue:

[FONT=courier new]Ninachojua tu ni kwamba ni ’ Upumbavu / Upopoma ’ uliotukuka kuhoji ahadi ya Tsh Milioni 50 wakati hata aliyeitoa bado hajamaliza muda wake wa Uongozi aliopewa ’ Kikatiba ’ wa miaka mitano ambao unaisha mwaka 2020.

Kuna muda huwa nashindwa kuuvumilia ’ Upopoma / Upumbavu ’ wa baadhi ya Watanzania. Hili swali lingeulizwa au lingehojiwa mwaka 2020 ningemwona aliyeuliza ni ’ Genius ’ hasa ila kwa sasa aliyeuliza na hata wale ’ wanaomsapoti ’ naona kama vile ’ akili ’ zao zimezidiwa hata na zile za Kuku wangu wa Kienyeji ninaowafuga.[/FONT]

Mtu mzima kusema uongo hadharani ni aibu

Hiyo avatar , hiyo miguu ni yako? Nimeipenda

Nchi haiendeshwi kijinga kama unavyoendesha familia yako na hao kuku wako wa kienyeji bali kwa mipango na budget. Budget ya 2018/19 imeshasomwa na haina mikakati hiyo we we kwa akili yako hiyo unadhani ya 2019/20 inaweza kubeba hayo wakati in mwaka wa kugharamia uchaguzi? Hela yenyewe ya uchaguzi kizungu mkuti!

Uongo ni jadi yake huyu dikteta. Sifa zote mbaya anazo yeye. Mwizi, muongo, fisadi, mzinzi, muuaji, dhalimu, ana chuki za kutisha na roho mbaya sana na muuaji. Hakuna cha maana anachokifanya zaidi ya wizi wa hali ya juu, kupandikiza chuki za kutisha nchini, kuinajisi Ikulu na pia kuivuruga Nchi yetu.

Uongo aliuanza tangu siku ya kwanza kwa kushika kitabu kitakatifu na kudanganya mbele ya Mamilioni ya Watanzania kwamba atailinda na kuitetea katiba ya Tanzania na kuiongoza Nchi bila chuki kwa Mtanzania yeyote yule kumbe ulikuwa UONGO MTUPU!!

https://www.youtube.com/watch?v=x-Bi-Us8OSY

Rais wa ovyo haijapata kutokea katika Tanzania.

Ingekuwa nchi zenye watu na wabunge wanao jitambua tayari alikuwa amesha shitakiwa bungeni na kufukuzwa kazi kwa kuvunja katiba aliyo apa na kusema uongo

Narudia tena kusema na kusisitiza kabisa kwamba ’ Hoja ’ ya Ahadi ya Tsh Milioni 50 ikija mwaka 2020 nitaiunga mkono na hata Mimi nitaikosoa CCM na Mwenyekiti wake kwa kutoitekeleza kama alivyoahidi ila kwa sasa kuihoji wakati ndiyo Kwanza tupo mwaka 2018 naona ni ’ Upumbavu / Upopoma ’ wa wengi wenu ambao Mimi huko wala siwezi nikawaunga mkono sana sana nawadharau tu.

Wewe ukimdharau mtu inasaidia nini au inakosesha nini? Una kichwa kigumu nadhani kuliko hata jiwe mwenyewe katika kuelewa, Hivi ukiangalia kwa mipango gani thabiti unayoiona kuwa yawezeka na 2020 ahadi hiyo yawezekana?
Kwa hiyo kwako wewe 2020 akiamua kutopeleka hela za madawa hospitalini na kutimiza hiyo ahadi kwa upopoma wako (huo unao uona wewe ni uelewa) utamshangilia?

Hana hadhi ya kuitwa Rais huyu Mkuu. Mwenye hadhi ya kuitwa Rais hawezi kufanya maovu na madudu chungu nzima kama huyu dhalimu na dikteta.

Mpumbavu / Popoma huwa ni mgumu sana kumuelewa Mwerevu / Kipanga. Usichoshe tafadhali sawa?

Kuhoji ni jambo jema, ni kama kumkumbusha tu. na hii ni sahihi kwa sababu inaonekana JPM anafanya mengi ambayo hayapo kwenye ilani. naona ngoma imemnogea sana kiasi kwamba kainama anakata kiuno amesahau kuangalia anakwenda wapi. hii ni kama kumshitua tu akumbuke kwamba kuna ahadi alizitoa kwenye kampeni. ahadi kama hizi zinahitaji kujipanga. kama ukimkumbusha 2020 ina maana gani tena? muda si umeshapita? halafu mkuu acha hasira. matusi hayajengi

Huna tofauti na Livingstone Lusinde, kudhani wewe unafahamu kila kitu. Na hii tabia ulikuwa nayo hata kule nyumbani. Haishangazi sana, watu wenye mental disorder wanafahamika wazi. Wahi tiba

Hivi tukianza kuorodhesha uongo wa jiwe si kenyatalk ita stack!!!.tehetee