Kwa wale tulioowa ni vyema kukumbushana

Leo tunaenda angalia highlights za mechi za makundi yote

Na kagame cup

Nataka kombe la ulimwengu

Hilo leo hakuna…labda nikutafute tucheze letu

he he he aisee kumbe ndo mbinu zenu ee

Ndioo

khakhakhaaaaaaa… asante sana

Cc @Smart911

Mbona nimeambiwa ratiba iko palepale?

una uhakika hakuna mechi, basi sawa

Hahaha
Nshapata wa kucheza nae

Kwani si unatakiwa upangiwe na tff? au ni ndondo cup

Tff ndo mie, nshajipangia mechi ya kirafiki

Uje leo @Mahondaw wangu mechi tunacheza wenyewe…

bahati mbaya wife ni chizi mpira pia…kombe laangaliwa home huku sinia la ubwawa likiwa mezani

Wamekuharibia?