Kwanini Wanawake wakibanwa na ' mkojo ' hukojoa popote na aibu yao huenda ' likizo ' kwa muda?

Sababu za kimaumbile mkuu

Na usiombe ubanwe na mkojo wa pombe

Kwani tunakojoa kwa papuchi?

pupuchi uliona??

unatafuta nini ww miss

Wewe hapo

Osha mimi macho plz pale inbox

Nadhani maumbile yao ndiyo yanawafanya washindwe kubana mkojo kwa muda mrefu…

Na utamuonea huruma mwanamke pale anapobanwa na mkojo alafu mkojo wa pombe… popote analiachia…

Cc: @Mahondaw

" wa pombe " dohh!!

Duh! kuna mmoja alinipiga kikumbo kidgo anikojolee miguuni

Mkuu atakuwa ndio wale wa kuzima taa…??? Hajui papuchi ni ipi na kikojoleo ni kipi

Yes @Mahondaw wangu… nyie wanawake mkinywa pombe za kutosha na kubanwa na mkojo kuvumilia kwenu kunakua kwa asilimia ndogo sana…

lol acha basiii!!! utani wa ngumi huo ujue!! sipati picha

Mbona mimi naona wanaume ndo wanakojoa ovyo ovyo,kila mahali,nje ndani…njiani,kwenye ukuta kila mahali!

Doh! Namshukuru Muumba kwa kuumbwa mwanaume
,

Mkuu hata ka picha

ni kweli KBS mishipa ya aibu inalegea wabanwapo