Hekaya safi lakini Tall Mnyambo hapa umetupara.
Hakuna hekaya ya tall inakuanga fluent kizungu lakini hii narration inaflow, hapa tall umeiba hii mahali
mkuu wewe ni noma,ulipiga msupa wa best yako??ukipigiwa na wewe utakuwa happy kweli?
fired
26
dumb idea kuchungiwa dem na ndume and you let her know