Kwenye house decoration, kwanini Africa tunapenda artificial flowers?

Hahahaaa

Sikuhizi kuna mtu wa plastic, Christmas ikiisha unawekwa store. Ile miti ya Lushoto soon itakosa soko

Hiyo picha ya Chooni halafu kuna kama maji ya Bahari safi sana kwani sie tunaotoka kwenye miambao ya fukwe tunajiona kama tupo kwetu…‘‘Magogo’’ yanakatika tu…

Artifial flowers yanadumu .Yanaweza tumika miaka hadi miaka ,mfano Christmass Tree.Fresh ukishatumia Mara moja ndio imetoka.Hiyo huchangiwa pia na suala la kiuchumi.Ni upuuzi wa kiwango cha degree 3 /PHD ,kwa mwafrika kununua fresh flowers kila mwaka wakati hata mlo wake kwa siku ni wa kubabaisha.Wazungu wao wanaponunua maua fresh,kwa 100% wanajitosheleza kwa mahitaji yao,hata wale ambao wanakuwa maskini,kuna social welfare departments/ministry ,ambazo zinawasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza makali ya maisha,kama kuwapatia makazi,chakula na matibabu.Sasa wewe raisi wako anakwambia ,"Hata njaa ikitokea hakuna chakula cha msaada,"Sasa utajifananisha na wazungu?