ladies chose: fisi or lion

Hehehehe. Watu wamechizi, I’m stressed lakini you guys are making my morning.

1 Like

Sikba ni nini ama uwekewe mbisha?

2 Likes

I thought that would b xciting?..I call it being adventurous!

1 Like

But hii lion seriously, hiyo ni ufisi mbaya.

1 Like