Lakini saa zingine ?? Is so funny yet sad

Yeye ni meff

def mimi ndio nitabaki ndio maana nimetusi yeye…

Nikuulize wewe? .
kama unajifunza stuff flani alafu mwalimu anakaa akikusomea… saa zingine anakulaani eti you will never understand all things in life kama hii kitu kudogo huwezi…

si akili za watu ni tofauti man.?. kuna wenye hunyita after months. mind you huyu ni fundi amefanya ov 26 yrs so yeye anaona kila kitu ni simple…

personally mse akianza kunisomea mimi hutense sana

pambana na hali yako

alafu nani ni Nachunisha majamaa sukuma
just askin

sabotage him,jengea yeye ngazi mbaya

Lazima Fundi akuheshimu, being a mtu wa mkono does not make you a lesser being, period!