Landcruiser Prado is not worth the money New.

Wewe ng’ombe hujui range rover and reliability don’t go hand in hand. Infact, it is the most diva car…inaeza kuzimia anytime ibidi umeita flatbed. Gari ya upus kabisa!

huyu hajui mambo ya magari, y62 watu hawapendi huku labda ukuwe tajiri kama mbuvi sonko ako na tatu hii inakunywa sana. Hio j150 (1gd sio 2tr) ndio standard sahii watu hawabuy v8 watu hawaitaki kabisa, lx 570 kama ya ruto pia hawataki. Sahii ukitaka kuonekana uko na pesa buy prado iko na spare wheel kwa mlango ya nyuma na ubuy sticker ya toyota kenya uweke hapo nyuma.

Y

The only way unaeza make a case for hiyo prado ni ukiongelea fuel tu. Hakuna kitu ingine. Btw ata na hiyo pesa heri nibuy V8 2nd hand low milage but specifically the diesel one juu hiyo si mbaya sana kwa mafuta. Prado at 16m maze issa no. Si heri ushike baas patrol na 12m hiyo 4m uguzzle mafuta nayo with a better car in every sense of the word.

kijana acha nikuadvice kuna wakati ssyang yong ilikuwa kusema kenya, kila mtu alikuwa anataka musso hata watu kanisani walikuwa wakiimba musso. Sahii ni prado wanaitisha watu hawajali mafuta current generation hawasave wanatumia kutumia pesa yote wanapata

Fuel aside, are you actually insinuating that a prado is a better car than a Nissan Patrol?

Just like politicians, men get the cars they deserve

vw all space iko aje?
ni save 9k salo 433 years?

wewe ni mwananchi wa kawaida. Hiyo sijawai skia

How can you compare a patrol to a prado and say that is underpowered? Patrols are actually more powerful than prados big sisters aka Landcruiser LC200

better how mimi sijawahi ingia ndani ya any lakini nikienda pale kwa reviewes youtube napata yote. ukienda pale kwa akina dougi na car wow wanasema yote, lakini uliza mwenye hio patrol ama hio prado hata hajui kitu. fika rough road umulize hizo knob ziko hapo za 4h na 4l ni za nini ujue

hio ndio gani kenya tunatambua toyota, wewe ushawahi toyota imelala hata zile mzee labda mwenyewe akuwe fala

2032 nitapiga campaign on BMW X6. To be honest i find prados extremely boring. ( except izo za kitambo zenye hukaa rugged)

As you guys discuss, sisi wa legsus, footsubishi, na wirrbarrow tuketi wapi?

Patrol produces more power than Prado and I guess even more than the land cruiser proper.

Nothing beats lancruisers off road. Forget landrover. Only jeeps come close. Problem is usually the price.

The TXL costs 16M yet its not even the top spec VX.L. That J150 is bulletproof especially with the newer 1GD turbo diesel engines.

There is nowhere the landcruiser and jeep will go that the Range wont since all have low range, locking diffs etc. All these cars are proper offroaders. Landcruiser is king because who would dare take their Vogue to the bush ipate scratches.

The only gari nilikuwa na tambua kwa hizo mnataja was the LC Amazon trim.Too bad the discontinued it.
Wenye wako nazo locally hawauzi na kama wanauza ni too expensive

What you want in a heavy car is torque and not power per se.

Na Cygnus jee?