Laptop

[ATTACH=full]148476[/ATTACH]

Hyo 999 Aed ni Kshs 28,000 bro na locally inauzwa hadi 25,000 was thinking ntaipata na better deal…na by the way hyo dz340 ni old model na me nasaka dz350

Hio laptop niko na 10k. Na uwe na receipt yake isikuwe uli @snapdragon mtu

Labda nitoe RAM pekee nikupee hiyo.
8GB RAM ni 10K.
:D:D:D

@syndicate I asked you kama uko na those light weight laptops that go for 18 to 25K on Jumia?
Hizo ma intel atom na Celeron fulani.
Akina ilife zed air

Iza brathe nilipata msiba ikabidi nimezama matanga for almost 3weeks. sony home theater dz 350 utapata ata sahii tu. Kam ivi inbox tumalize deal.

Ziko brathe zama ivi inbox tuongee.

Yaani nilikosa exchange ya maana ya hii kitu. It’s alright. Hata nikiongeza pesa?
Na sitaki watu wa 7K. Screen ya lapi ni 6500 so hiyo haiwezi. Na RAM ya 8GB pekee ni 9K so hii joke ya 10K hapana.
[ATTACH=full]150261[/ATTACH] [ATTACH=full]150262[/ATTACH]