Le Gambler

Ng’ombe yeye, akule ujeuri yake. 18k naiskuma hadi 60k in a whole full week polepole tu. Hii kitu haitaki mafisi, treat it like an investment and always love your money, sio kufanya risks za ujinga juu ya tamaa

…:D:D:D:D:D

Hahaha pia mie kuna pesa siezimwaga kwa bet moja… Hata na bangi ya mwiki

If you must Kwanza rudisha yako. When he got the 27, he should have kept away the original 18 na kakitu ya kulewa kama 2k. Balance awekelee tena etc. Ikikunywa maji unasema isorait.

Ulavi haingemruhusu afikirie ivo… Najua alitoa labda soo ya kushika mavikombe za keg akingoja game iishe