Learn from Samidoh

Unajua nimeskia hia jina mara ngapi leo…?!? Mpaka i googled the son of a gun…nimeona the first 3 highlights nikawachia hapo…hata siwes click.

Hii naona ni marketing strategy. Bei ya Nyamu imepanda now that she is popular. Kuna politicians na drug dealers watalipa millions kukula hiyo kitu

Try your luck mblo .
[ATTACH=full]352412[/ATTACH]

Uyu sio yeye…

ndio nashangaa ghassia kazi ni kuimba mugithi na kuchunga mlango ya banks ati anaitwa rich

wacha fake nyews huyo si yeye