Huyo @dingoo_wa_ingoo ni todhi ssana after kuni insult ati nilikuja mtaani juzi naona ame delete comment yake!
@Mzee mzima na wewe umekam kijiji kama uko tingz mbayia…ama ni comments zilikuwa in small letters ikakuwa noma kusoma?
Hii picha imeibwa hapa, @admin since when do you tolerate wezi?
https://twitter.com/Mipakosss/status/599860999722668033
Huyo huwezi msalendezesha. Hata ukiita jirani, not unless umebeba pipe mpaka za jirani. Kwanza hizi matanye, dude, zinataka kitu kama ya punda hivi!