Leo nduthi iko parking

hehehhehe HAIZAFIKA bado uncle , Kiswahili tu ndio ILIZAFIKA

2 Likes

Poa sana. Lakini chunga mikono isilete vita.

Hapo ndipo, mablisters zinapona sasa

Na ulikuwa unajitesa ya nini kama unaweza pata kitu swafi hivi?

Swafi Kakabrasa, hapo umejaribu. Keep it around till Monday.

Kapsa omwami, iko second leg

Kitu swafi @kush yule mnono . Kamua kitu…

1 Like

Tutaanza kukubali hizi picha handle ukiandika jina na Biro mahali. Otherwise hiyo mambo iko sawa. Me nangoja night bundles nichangamke :frowning:

So how do you do that in digital format buana

Andika na biro uishike mbele ya camera.