leo ni leo

lovely minimalistic crib. I like it

Not bad. Toa picha ya Yesu ama uokoke. You cannot be sinning then saying thank you for your blessings.

hakuna mtu anaona hiyo ash tray @culture atuambiee ni ya feggi ama kindukulu

nitakusamehe villager. kaa kaa kijiji uelewe maana ya mancave…

Naona speaker next to your bed, roots/regae zitakuaribu maskio.

Keja iko smart kabisa

na hiyo horseshoe iko kwa dirisha ni ya kuweka mtu yoke?

mkamba ni mkamba tuuuuuu

Na kwa hiyo keja sioni dalili ya kupika, ama mtakula kuku porno na chips?

Naona refreckshen ya arimis pare kwa mirror.

Hehe buda boss unalala na viatu kando.

:D:Dtoo much hate @mache kwa mancave we dont cook.

santeni lakini.

mimi huyoooo kwa kioo.ndio threshold imefika watu wangu.

[ATTACH=full]140774[/ATTACH]

hio tray ni ya kuweka ash nikichoma kindukulu mtu wangu

Kichinjio kikosawa

Keja iko nice but niulize why would you want the smell of shoes next to your sleeping area?

IT’S better than the smell of stale sex

Hio pahali ni mzuri ya kutombana

That, is a girl’s house.

Vitambaa hadi kwa speaker :eek:
Kwani unawacha mama osha akupangie nyumba?
Plus hizo ni viatu mob sana for a mancave. It seems to be your main house. Ama una roomate

Lets deconstruct hio nyumba

  1. Hio ni ya dem
  2. Vitambaa kwa speaker? Nyumba ya dem
  3. Pillow mob kwa kitanda… dem or @culture ni gay
  4. Viatu za mwanaume… @culture huyo ni bibi ya mtu unakamua
  5. Ama ukubali wewe ni peasant unaishi bed sitter