Leo niko sinai.

Mbesa haifiki nusu mita ,nilibeba mbesa nusu mita wayback 2004 nikaenda kununua mat ya ruai kap 088f plying that route ile kucheswa makanga na dere alifanya for two good years siwes kubali kukumbuka bearing in mind iyo ndio gari ilikuwa imesukwa inajiita scorpion.conductor alijijenga sahii ni investor ommoiner,moral of the story easy money easy go,stop flossing and start serious investments~ pamba2016.

Leo uko na moraleā€¦tupe ile hekaya ya shiney eyes prias

Wacha umama matako ya polisi wewe. Ure in the wrong forum kiino hii.

@Mzee mzima cheza chini mtunguyaz

https://www.youtube.com/watch?v=yCVE5RcBjHo

Hiyo Sinai yako ni same na hii ya Kiraito?

1 Like

I meant niko mafutani bro.

@pamba wewe ni mbanā€™ga. Hiyo nusu mita najua ni dirty money ulimangia maboyz mtaani kisha mkawarokota kama chips

1 Like

kama uliajiri mtu akanunua umo inner umebarikiwa nisambazie hizo baraka

1 Like

:D:D

Forum ya serious business unaeka nini maskini

Pocket change ya kununua Mugukaā€¦

[ATTACH=full]39574[/ATTACH]

7 Likes

What I have come to learn, watu huangukia once in a while ndio hukuja kujitangaza hapa uliza kabuda na pound zaje za siku 2.
Ukifanya hivi kama ile Gilbeys ya uwesmake kila wiki ndio tutanyamaza. Otherwise, rudishia mhindi pesa.

3 Likes

jeans ya peasants

hio mbesha inakaa mlima ā€¦ kweli we si msee wa kuhesabu pesa

Jirani yangu na siringi
[ATTACH=full]39767[/ATTACH]

mayeke ndio biriornea peke yake hapa

Fake it till you make it