Shindwe!!!
ndio maana unaona ma fimbo kwa ndoto anko
HUYU NI MWISI BABA LASIMA IWE FUNSO
IZA
:D:D
Tuko wengi.
Pole baba, Za wanaume zinapotelea kwingi. Simu zilibebwa aje? Walikuwa wameziacha ama?
In cold hard cash ama business losses?
Pole sana kaka. Kama angekuwa anakuja pande hizi za mwambao hangepita Mazeras nakwambia. Kuna vijana wachangamfu wako pale Changamwe…ningedai tu picha,za condoms,pepper sauce na za macho.
But all in all let the anger not consume you. Put what the good book teaches on forgiveness. Mengine mwachie Mola
BABA HIO GROUP YA WATU WAMEBEBA MIZOGOLO NIJUMUISHE AKIPATIKANA NIKUWE WA KWANZA KUSHEHEREKEA DRYFRY
Pole bana
Pole bro.
Pole bro.
confess you have had to google the chairman’s name…
@mayekeke pole but the maid has been praying for a miracle…mungu amemuonekania na favour…
Kamshenzi kameacha $8000 na ilikuwa tuu mbele ya macho yake, Alhamdulillah!
[ATTACH=full]40210[/ATTACH]
Pole Mayeks.
Kuna wakati napata pesa cash at ungodly hours so I bank it the next day, leo nimelearn lesson I’m getting myself a safe.
hawala…KRA iende ikikauka
The better, make sure ameenda Uganda, sio ameolewa na shiny Eyes hapo karibu awaambie vile “hiyo nyumba haikosangi vitita vya pesa”