Live Betting

Jana nili make profit ya soo nne from live betting …lakini greedyness ika nishika nika poteza soo ki mchezo tu.

1 Like

Angusha link inbox brathe

Imagine umeweka hii 500 ya over 0.5, halafu inafika 39 mins bado haijatingana, unaona kaa doo inakunywa maji, most of the betting system hakuna kitu unaweza do…:(so these guys wako, na njia yao yakumake sure haujapoteza kabisa, bado unabaki na fare, thats what they call CASH BACK. :D:D:D:D
Tuseme umeweka 2000k game ikiwa 26min over 1.5, cash back huwa inaanza mara that, wanakupa 1900, time inaendelea, 39 mins unapata umebaki na 1200, ukiona utaloose hiyo chapaa unaitisha hiyo cash back ya 1200 papa. utaloose yes but sio pesa yote

1 Like

Aaah kumbe ni hio. Naijua iko bet365 na bwin inaitwa cash out