Lord of the knights watch uncle uwes

maaamaaa kuja nikununulie shangaa iko na 100% arikoho

Chief kwani sisi hukunywa pamoja

1 Like

Niko kimilili leo nimeenda kukamua watu wenu

Hiyo samaki inatoshana na the small finger kwani ni tule tunaitwa sardines?

Marinated Omena

2 Likes

Kujia Kisii kuna Cham yenye hijaongezwa vitu funny

1 Like

Ukimaliza hii tafuta momo upunguzie hizo calories!