Lunch time Karibuni

Haha naona watu wanakula huku.

Kumbe Ni shida ndio hufaanya watu kung’ang’ana Na maharagwe…watu wa industrial area wamefunga makazi …it is a song.

Kuna boy flani mjaka hio city park market huniserve choma na mukimo, alafu juice ya wale madam huiinsist “utakunywa juice ama soda leo”…aaahhh nimemiss hio food sasa.

hehehe mi mwezi ikiwa corner me hujibonda Managu nyama na supu ya fish angalau, eish halafu juo huwa ya kutoa hungdown ya Monday, kanyaugenya husaidia sa ingine

:D:D