M-shower

yep…never!!

1 Like

hiyo kichapo haiwezi kua ya mambo na kuoga pekee

1 Like

:p:psema ukweli

ukweli…

1 Like

Maji baridi nilioga nayo tu vile nilikuwa high school and time fulani nilikuwa jobo huko kwa akina meria mata

1 Like

yaani wanamme wazima kama nyinyi mnaoga na maji moto kama wamama .?now i know

Ukikosa maji moto una @mukuna

2 Likes

Watu wa passport tunawajua. Ukitoka bafu mgongo imeparara ni kama ulikuwa squad pale @Mundu Mulosi and One Son Millers.

3 Likes

Should I comment?

1 Like

no please

mimi hata coast naoga na naji moto.:D:D:D:D i sweya

:D:D:D