madada na sisters ukifika 30+ hujaolewa acha kuwa too picky

Vipi dah nipe nambari ya simu

Hahahaaa. Lol.

Jirani ujue nimecheka kwa sauti. Hahahaaaa.

nlikuwa singo matha at 19 years old sijui mnataka kumtisha nani?happy singo mums?

Wewe walikugegeda mapema, ila hadi sasa unafurahia kuwa single maza lakini wadau itakuwa wanajipigia na kusepa.
Endelea kutoa tu, mtu chake bhana

Mtoa mada umeongea naked truth, Hawa wanaojifanya wanachagua utazani walituumba wao subiri tu… hizo 30+ zikifika akili zitakaa sawa

Kwenye bold Hapo ,mkuu umeniita au?

Kwenye bold Hapo ,mkuu umeniita au?

hatar sana…asante kwa ushaur dada

Ufanyie kazi mapema coz ushauri mzuri si rahisi kuupata pia ni vigumu kuufuata(hasa kwa mswahili)

kweli kabisa haya mambo ukiyajua mapema hutapata shida …huu ndo mwaka wangu wa mwisho namalizia kuchagua

Wale wale, angalia 30+ isikukute bado una rob rob

Aisee hii kitu imenikumba Mimi nilikua najiona mzuri mwisho wa siku nakuja kupata limwanaume mpaka nasema angenikuta enz zangu hata siku moja tu nisingedum nae…lkn leo eti anaenda kua mume…due!

hahahaa sifiki 30 najihadhari mapemaa

hahaa hii kitu ya kujiona mzur ndo inatuponza na kuchagua chagua mahandsome

Nichague mimi sasa mapemaaa

So mpk sasa wanajipigia tu wachagualiwaji ?

wanajipigiaje?

haya ukuje kwenye foleni

kama ndoto dada kazi umeifanya

umejuaje rika langu