madilu system

Before Franco there was Papa Wendo. And Joseph Kabasele was a contemporary of Franco. These are the Congolese musicians who achieved fame…

Hio Nzele wacha tuu. Hekaya loading

Ongeza Biya

Miziki swafi pamba na yo!

Hapo sawa

But i feel Madilu has a better collection than Francho…Eau Benite, Position Ya Pesa, Emanuala Samuela, Ya Jean…and many more tunes that never grow old…

Boys talking.

Hapana Cheza na Franco, dude wrote more than 1000 songs, plus he was a master guatirist, without his band madillu would be nowhere.

True, La Grand Maitre was Francous Luambo , but there is something i feel about madilu, heard that song called Frere Eduardo by Madilu? While they were all members of TPOK JAZZ, Madilu alikuwa mwalimu kivi yake

True

I totally concur, huyu mujamaa alikuwa a league of his own …

TPOK jazz under the leadership of Franco Luambo Makiadi was mofaya. The beautiful music is still as fresh as it was back in the days …

https://www.youtube.com/watch?v=eaUiXAA95jg

https://www.youtube.com/watch?v=2LC2XJforb4

Alaf Madilu kwenye mix ndani ya TPOK jazz:

https://www.youtube.com/watch?v=rxbE6fuU6JQ

Madilu musik Will never die

Wewe ni millenial tunakuelewa

What of sam mwangana

Mangwana too did some good music. Like BANA BA CAMEROON. But madilu and Franco remain top in the league. Heard of Simaro Lutumba…Man with a golden voice

Wasito mmeniangusha hakuna kanda bongoman na aurlus mabele loketo.
Pia Papa wemba kaokokokorobo. iliweza mbaya.

Hao walikuwa wazito wa lingala … kwa rhumba hao mabazenga mentioned huko ju ndo walikuwa kusema

Kwani kuna tofauti ya rhumba,lingala,soukous na zilizopendwa.

Lingala na soukous is more or less the same, rhumba ni mziki taratibu just like blues, unaeza dance kama umekunja mtu (now imagine kudance ngoma ya aurlus mabele kama umekunja m.she, haiweswak)

As long as a song was there during a past period in time, ile ngoma ukisikia inakumbusha the gone by days, I classify all of them as zilizopendwa, eg Daudi Kabaka, fundi kode, akina tabuley na akina les wanyika’s songs just to name a few.