Magufuli land devolving to the dark ages

Nipo around…I was away for a while…been busy with my employer…Nini tena kimetokea?

Wewe mwanaCCM ,unataka wasukumia WaKE CCM?..Nipo Moshi hapa,hicho unachosema hakipo!..Maandamano ako pale pale!..Mmezoea kutesa Wabongo sana!

Im a KE in Kilimanjaro hapa,but I will be on the road helping Wabongo…Hii wanjikos wamechoka kabisa!..I can feel their pain!

Jichunge juu hao watu wanafanya watu wapotee then wanapatikana maiti. Tundu Lissu aliponea.

Hahahaaa…hawaniwezi…siku ya maandamano nitakua katikati ya mji wa Moshi nisaidie wabongo…wanalalamika sana!

Hahahaaa…kunishika hawataweza!

Usitegemee maandamano TZ. Mtaendelea kuaibika sana vijana kama USA na washirika wake walivyoaibika mbele ya Syria.

USA kaaibika wapi wewe?Unasikiliza propaganda za wajinga Russia?

Unafikiri USA ni some token shithole nation?

Na maandamano ya hapa Bongo nayaunga mkono sana,kwa hali yoyote…kwa maneno au hata hela au kwa mawazo…Wabongo ni watu wazuri sana,mnawatesa bure nyie CCM…

Na yapo moto…ako kwa speed!

Naona upo upo umo umo. Hanna neno nilikuwa nadhani Magufuli amekumiguna.

Hahahaaaa…Magufool ana Miguna watu wanao mfanyia critique tu…hagusi foreigners pia!..Njoo Moshi niwe host wako!Njoo upande mlima Kilimanjaro!

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

:slight_smile:

Babe, si you marry me and send me naughty pics so I can leak them?

In full support of #MaandamanoTZ

Hahahahaha!!! Yaani maandamano yapangwe Tanzania halafu wanaopiga kelele ya maandamano ni wakenya. Tayari tumeshaanza kukata connection za maandamano. Kaka yake na msichana anayepiga umbea wa maandamano kwenye mitandao tayari ameungana na serikali.

Intelijesia ya Tanzania ni kubwa sana.

Bloggers hakuna kunukisha kitunguu

Clearly the Magufuli Despotic Government is afraid of an uprising by the people. Newsflash!!! You can never subvert the will of the people for too long. Wameona what sort of an evil dictator they voted for and they now want their governance back. Power belongs to the people.

Hata sisi tuliimba ‘yote yawezekana bila Moi’

https://www.youtube.com/watch?v=_O4iTr_6_tk

Ya Faiba ndio ngumu saidi …

:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D, did he finally deliver the head?

Tanzania and Kenya ni nchi tofauti kabisa rafiki.
Don’t compare Tanzania with Kenya.
Tanzania inaweka maslahi ya Taifa mbele but Kenya inaweka maslahi ya Elites mbele.
Tanzania is for Tanzanians but Kenya is for few group of people.

The Land of Tanzania owned by the Government of United Republic of Tanzania. But Land of Kenya Owned by individuals. Can’t see the different?
Sasa usitake Tanzania ifanane na Kenya.
We started practicing Democracy long time ago before you guys. Kenya imaanza kuwa na Democrasia 2002.
Your country ni changa kwa upande wa Democracy.

Your country owned by elites. But our nation owned by citizens.
Check the list of presidents of United Republic of Tanzania

  1. Julius Kambarage Nyerere (From Zanaki Tribe - Mara region)
  2. Ali Hassan Mwinyi (From Zanzibar- Unguja)
  3. Benjamini William Mkapa (Makonde tribe - Mtwara)
  4. Jakaya Mrisho Kikwete (Kwere tribe from Pwani)
  5. John Pombe Magufuli (Sukuma tribe from Geita)

Huoni tofauti ya kenya na Tanzania let start for Kenyans

  1. Jommo Kenyata (Kikuyu )
  2. Daniel Moi (Kalenjin)
  3. Mwai Kibaki (Kikuyu )
  4. Uhuru Kenyatta (kikuyu)

Tanzania ipo mbali sana. Usilazimishe tufanane. Hahahahaha