Mahari mnalipa how much?

Imagine ulipe 1.7 million.
Dame akuje kwako aanze kulia nyumba ni ndogo tuhamie nyumba kubwa.
Tena aanze kusema hapendi kutumia mat. Ninunulie gari.
Halafu, aanze kusema ati all men are dogs.
Auuuuuu…halafu, aanze kusema divorce.
Halafu, judge ampatie mali yako nusu.
Tena mwanaume akijiua mnasema ati the man was weak…

11 Likes

Bonga na gwiji wa mahari aka @sperminator

Wazee waliniambia mambo ya dowry in terms of millions wakisema ati msichana wao is learned, nikawaambia first they refund me pesa ya masters nililipia mtoto wao plus yenye nilisponsor their son to campus with ndio niwalipe
Since then sijawai skia hiyo maneno tena after kupeana ngombe moja ya grade

7 Likes

My friend got himself a single mother of one kid and paid 1,000,000X0

1 Like

Sikulipa na silipi mpaka nikuwe dolar birionea

1 Like

Blunder alifanya nikuenda na huyo wife kwao kulipa mahari kabla wazae naye.

Hehe that’s a very “solomonic” advice thanks

Exactly if you start off with debt, you have simple sabotaged your lives from the start. You will struggle and not make it.

1 Like

:D:D:D

If I change my mind, decide to marry I will pay zero. Na sio single mum… Hiyo sio matatu nanunua.

2 Likes

kama budangu hajai lipa mpaka wa leo mimi ndio nitalipa?

13 Likes

Budako anakaa miser sana. :D:D:D:D

1 Like

mzae hu-rule military style, hapan tambua umeff

7 Likes

To the young men an ladies: Never allow your parent to dictate, all mess your future , if they ask for millions or those exorbitant monies , find out how much they gave during their time ! That’s tricky ,you need wisdom to find out. Obviously they can’t bring curses inform of dowry into your family. Women are not commodities for sale ,love and acceptance is all we need from both families . Parents need to bless their sons and daughters unions.It’s their obligation !

3 Likes

math sio mdomo chako

2 Likes

Mahari nitalipa if it will not exceed 300k. Ukipata msupa kwanza zalisha watoi kama watatu in quick succession. Hii maneno ya kungoja ndio unanaswa.

6 Likes

:D:D:D

Vuka border come to TZ. Mimi nilikwachua wife M-Tz and I paid 1 M…Tshs 1 M (appx 50K) and some blanket, kitenge for the shosho.

if one pays 100K as dowry here in Tz anachukuliwa kama mtu wa ajabu sana!

14 Likes

it’s only two tribes with that stupidity, I walked away…nikachukua wa nyumbani

3 Likes

Mbuzi mbili na kueka bash mwenda. Waking’oa naingia apo kwa the nearest soko kila mtu anapewa on me, kesho yake wazazi wanapata sifa vile pesa ya mahari ilitumika vizuri

1 Like