Maisha ya siku hizi ovyo sana

Ogopa sana wivu, wivu ni sumu ya penzi tamu sana na wivu huligeuza penzi tamu likawa na ladha ya shubiri, but always remember that when they go low we go high. Protect your reputation no matter what don’t allow anyone to lower your high standards to theirs i.e. ZERO standard. Always takes a high road.

Wapi inapatikana Mkuu nami nikanunue ili nimnyweshe mtu atake asitake hata kabari atapigwa ili anywe dawa aachane na wivu wake.

Nini tena hiyo

Hahahahaha lol! Si unamjua BAK kwa kufurahisha baraza? Lakini ukweli dawa kama hii ingekuwepo wanaume na wanawake wengi wangeinunua ili kuwanywesha wake/waume zao na wapenzi wenye wivu uliopitiliza. Jealous is good in any love relationship but as you know TOO MUCH OF ANYTHING IS HARMFUL. Hiyo dawa ingekuwa haikai dukani
:p:p