Abba
May 30, 2019, 1:41pm
22
Omwami at times gari huisha mafuta. I can’t reincarnate on a different hando. I’m back omwami. Leta hakaya za home . I need them
Abba
May 30, 2019, 1:42pm
23
Si ni hii ngombe @uwesmake
Abba
May 30, 2019, 1:44pm
24
Sande brother MM. How did the situation go? The one you tried to settle ?
Abba
May 30, 2019, 1:46pm
25
Uliwahi soma a hakaya I gave on how iv survived many eyes of the ripper ? One was falling into a pit latrine, the other was drowning , ingine coming across pokot cattle raiders . Kwa hivyo busaa won’t and will never kill me
Abba
May 30, 2019, 1:47pm
26
I’ll never be another Person. Too old for those games
Abba
May 30, 2019, 1:49pm
29
uwesmake:
:D:D lakini @Abba unaniangusha Sanaa wewe Kama mwalimu whether wa BOG or likuru lazima utambulike Kama one of the bourgeoisie wa Kijiji . Immediately after appointment unajitambulisha kwa wazito from mwenye supermarket , OCS , mkubwa was wezi to mama wa changaaa . In case of anything uko sawa . Mimi nikipigwa transfer katchmega ofisi ya Kwanza ku market asset finance ilikuwa ya Kingori mwangi then mkubwa wa Western na akakuwa beste mpaka wa leo . Let’s just say kesi za nikikamua madem wa 16 years zilienda chini ya woyes
You are right. I missed a step omwami
Abba
May 30, 2019, 1:50pm
30
Thank you [SIZE=1]though I’m not a king :D:D:D[/SIZE]