Mancave

Heheheeee…

[ATTACH=full]170464[/ATTACH]

kamata ameweka kona gani?

Labda ni microwave?

I can promise you this person living here belongs to those people who eat both the head and scaly legs of chicken. Don’t ask me how I know.

A total insult to bachelorhood. The bed is the most important as well as the kitchen area in terms of hygiene. Huku nguruwe ata inakatalia kwa mlango.

@Nyamgondho utahama lini kutoka hii place?

Hiyo nyundo niya mayai? This guy is just dirty

Nyundo ni WMD. Weapon of Mass Destruction :D:D:D

Welcome back.

ule jamaa was bedi investments

:D:D:D
Mancave iko chonjo saidi.

Juu wewe ni mekanika murefi…the only thing missing there ni tyre ya nduthi na WD40 .

:D:D:D
True story.
Spare wheel chini ya bed, nguo zimesoakiwa one week zinaferment pole pole kwa ndoo…ole wako ukisumbua hiyo ndoo, sufuria tatu za sembe unaziosha First In First Out, na sheppart ako na rights hadi anajua kiti chake.
Kabla uvae shati unainusa kwanza.
Best days.

:D:D:Dmonsieur Archibald ameonewa sana!

:eek::eek::eek:
Ulikuwa na kichanuo ama “scratcher” hizo siku? :D:D:D:D

:D:D:D:D

Hehehe…his unequal follicle distribution makes him a visible target all the time. I’m sure there’s a capital X. there.

Ati nguo zinaferment pole pole bila kusumbua…hyo maji ikichapa wiki inatosha kutengeneza a very potent WD40 :D:D:D

Achana na hiyo ng’ombe huwa nimeiblock.
:D:D

Hot comb…
Si jokes.

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D ata blanketi ni ile ile tunaonanga hapa

:eek::eek::eek::eek::eek: