MANCITY INAUWA NYOKA

hehehe swara ni swara tuuuuu but game ni 90 mins , yaani ngombe za monaco zinacheza kama stoke city waaah

1 Like

2-1. Monaco is one of the best teams in Europe right now.

i said and ill repeat again Pep selling Hart was the worst mistake ever , hii ngombe iko kwa goal imeuza hizo bao zote

2 Likes

I’ve followed so many of their games and i can agree; they’re no pushovers - Na squad yenyewe haina super stars…

1 Like

Wacha aibu ndogo ndogo, Hart is on loan till the end of the season; akirudi naona akifikiria twice before selling him to Liverpool…

Lakini kina Bakayoko watauzwa pesa mob sana in the summer, halafu naona Falcao anashine.

1 Like

wako na bahati hawakutapata tungewanyorosha washangae na hi 25% ball possession

BTW tungepatana nao wangetukimbiza sana. Ukweli usemwe.

1 Like

Swara man sasa umesambazia city swara zako utalipa hio pesa watu wamepoteza kwa pot pesa

4 Likes

Nilisema GG ndiyo ilikuwa safe. Man City since Gurdiola took over are just ‘chieth’.

1 Like

Yenyewe uwes ni swara tupu…hehehe…naomba hizo rumors za bakayoko kuja manchester united ni ukweli…kijana ni pogba 2.0 na kushield ball…

Huyo atauzwa pesa mzuri hata 45 m.

Monaco has had good players since the times of kina Patrice Evra when they reached CL finals.

1 Like

waaaaaaaaaaaaaaaaaaa Simione akuje kama hizi ndio bao tutakuwa tuna funga

Nangoja Chicharito afanye mambo Muhindi alete pesa; Swara ifanye kazi bao moja iingie, lakini ATM iuwe nyoka tu…

game ni ya city kiyana

Monaco are playing good

1-2

Naskia amekanyangia contract mpya. Anataka kutoka monaco. Kama tulilipia martial hiyo 80million basi bakayoko si shida…

Penalty iingie tafasari unyamase sasa

Penalty…RIP Man city