Mandhari ya miundombinu ya DART mwendokasi

Mradi wa hovyo ila sisi tunapenda kushabikia vitu vidogovidogo sijui kwanini yeye anaweka picha wenzake wanapiga mabilioni ya pesa alafu anakuja kusifia kwa mapichapicha kweli kazi bado tunayo sana.

Huo mradi hamna kitu bure kabisa angalia hii clip hapo ni gerezani jioni mida ya saa 9 mchana

Hamna kitu hapa,mzigo umewashinda tayari huduma mbovu yani full :meffi::meffi: tu…

[SIZE=6]acha upumbavu wewe.
Kubali kukosolewa na ujifunze.
Unaongea broken unarekebishwa unajifanya much know.[/SIZE]

[SIZE=6]Wabongo tumekuja kuwafundisha kiswahili sanifu, lazima mtanyooka tu.[/SIZE]

Pumbafu ni wewe na kila mtu kwenu.Mbwa hii.Takataka wewe.Jinga hii.

[SIZE=5]Sio Jinga hii.
Sema “Mjinga Huyu” au “Lijinga hili”[/SIZE]

Kwenye huu mradi serikali inabidi ifanye maamuzi magumu kwelikweli

Haiwezekani kuendelea kumkumbatia mtu ambaye miradi mingine iliyomshinda halafu bado ukawa na matumaini kwamba mambo yatakaa sawa.
Management ya udart ni hiyo hiyo iliyofilisi uda sasa hapa sijui watu wanategemea jipya gani kutoka management hii

Mgeni huyo kwenye social media nn, hasira hazitakiwi pande hii.
Unarekebishwam unafurahi, tunaburudika

Hapa ndio makao makuu ya UDART

[B]https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcTZ_29Z_4hsHAhWr5leQohBSBsKwb7nq5HtU9gd6c8QETTJXd6uRoiB_Sfx[/B]

:p:p:p
[B]Hapa moja ya basi likicheza na maji kama KAMBALE vile
https://encrypted-tbn2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcR5LvZIX6sVJVlqTP7scjv-ODC5_cLT1FomlsL0F73KFJktEqKliH-jVwvJrQ[/B]

https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRp1wrGms2wNdX2mkSFeIGeiBq7Kr75mWx6eqB9yATQGtXdf264g7IY2iNF0w

https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcQ90STd6M4MmKaHSN4AzpMKhlmjQr18jKlHsxQWDeSURdxahxUTDn6cxIpr

[ATTACH=full]176715[/ATTACH]

Sitasahau kipindi hicho cha hayo mafuriko

https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSAygxMhg-_xaMIEy9RIWdekPefAtNsYnTiXbfcuIeU8zUIhkm1CdykBTUpFw

Padri mcharo kawa mtamu

Mkuu

Mkuu sio kikosi chenu tu, njooni hata na mkulu. Huku ndani hubebwi na wingi bali unabebwa na hoja zako. Mahali mtatamba ni kwenye jukwaa lenu la tuzungumzeforum.com, maana kule ni akili za mwenge tu zitajaa, lakini kwa huku mtaendelea kuchekesha tu.

Wabongo kwa mapicmapicha hatujambo ila nenda Vituoni ukutane na uhalisia ni balaa msongamano…wakata tiketi madirishani hakuna…yaani ni shida ya shida

Ova

bila maelezo Mkuu ni anasa