Manzi wa kenya njoo inbox

Wabongo tutawafunza hospitality sasa… Lakini hiyo sio maana yake haswa

Aisee Papg ni mukenya. Hivi hii Villager mwamasnisha nini. Sisi ni Mjini kabisa mjue!! Kutuita villager kashfa hii. Yaani washamba

Hahaaa kwa Mara ya kwanza nimecheka nikiwa ugenini na full stress za Jiwe.

Na hii ndo comment ilonifanya ncheke.

Hapana hii ni mitu ya bongo mazee.iko kwa refugee huku dadab.hahahahaaaaa

Ushampata?

Hospital tena

Si hiyo ni maana ya ukarimu