Mara paaaaaang'aa Jf ya KenyaTalk ni mtego.

Ukiumwa na nyoka, hata ukiona ujani lazima ushtuke…

Ni kawaida kufikiria hivyo au kua na wasi wasi… kwa jinsi mambo yalivyo kwa sasa… ila hakuna kitu kama hicho…

Cc: @Mahondaw

Poa

Acha vilejaz tuhabarishane, hilo la mitego waachie wenyewe. ,
Tumepata tabu sana

jf haikuwepo kenyatalk ila viongozi wa kenyatalk waliombwa kuiweka na wakafanya kile watz tunataka

HAITAKAA ITOKEEE

Gerezani unahitaji mafuta ya nini we mjamaa shauri lako.

Upo lkn

Lolote lawezekana

Nipooo

Umejificha! Umefichwa?

Nimefichwa…

I see. Hongera sana