Mark X Problem

Ngombe enda udownload na ulete video hapa

ndio hiyo bure kabisa

Ya handle yako io ingine

Si ununue premio za 2004-2008.Gari haina mechanical problems mob.Naipeleka garaga nikiona imekaa sana bila kuitisha

Toa battery weka hiyo ya nze baada ya charge(after going some distance). Washa gari alafu guza hiyo pulley inazunguka ya alternator na screwdriver. It should be a relatively strong magnet. Kama hakuna magnetism toa alternator iangaliwe imechapa. Unaweza kuona gari imekuwa ikimulika dim maybe. Pia winding ya alternatotor kama ilikuwa ime-blacken ilikuwa inaoverheat juu ya failed bushes na rectifier. kama ni bushes ama rectifier weka second hand/original ukipata. Kama ni armature nunua alternator ingine second hand sio bei ghali ata hiyo 15k sidhani itaisha.

Wakubwa niulizeni? Nini inafanya gari inatetemeka ikifika high speed kama 100+ hivi mostly when climbing. Inanibore niaje.

The NZE is also mine…na haina issues. My younger bro uses it but nitaichukua until shida ya Mark X iishe…so sihitaji premio tena. Thanks though.

How come hakuna mtu ameuliza how come single mother expert hakusema asking for a friend.

Apana uliza maswali kama hii. Ukiomba gari ya wenyewe hakikisha una uwezo wa repair kidogo kidogo.

  1. Worn out bushes
  2. Wheel alignment
  3. Defective tyres ata kama ni mpya
  4. Gari haina balance (Ilikuwa na accident ikanyoroshwa)
  5. …apana jua ingine

Had a similar issue and tried all remedies like balancing, alignment changing bushes finally solved by changing the shock absorbers. Hope it helps you.

If the steering wheel shakes, issue is likely related with the suspension:
Do balancing, check your tyres, check your rims.

inatetemeka. lakini kwa kupanda

Most likely ni mambo ya wheels na suspension: to diagnose cheaply, go to a reputable tyre dealer and have them balance and check your rims, If they are bent, have them straightened or replaced; if not, move to tyres, put your best tyres in front and test drive or have them run them kwa machine to check if it makes smooth rotations; if that’s not the issue, now you could move to check the links, arms etc.

Take it in jest brathe, illustrating gari imefanyiwa mix and match kama cartoon network is taking the diss to heart much.

Hapo ni ruiru. Jianike tu. Thats a conspicuous vehicle.

hehe…tumetambua ni KC… kijana si uko na mambo.

Ukibadilisha alternator hakikisha umefuta hizo marangi umepaka hapo mbele. Halafu rudisha wheels za gari vile zilikuwa ukinunua. Na kama kuna speakers kubwa kubwa ndani utoe.

Uzuri hamwezi jua kule naishi na gari ni mob anyway so. Anyway naenda garage afte kumaliza hii maneno. @admin @Deorro @Mundu Mulosi @Electronics4u delete hii thread nilipata ile info nilikuwa nataka

Watu wa cheki maneno tukae wapi ??

What if all you got is a parasitic drain? Had an issue once, drove some 100 plus kms wit ac on, when I parked, car just died. No amount of chokoraa resucitated it, until a suggestion for a new battery was floated. Well, a new battery was bought, the car started fine, but the following morning, it was dead again! I finally found that a fuse. relay box’s, was what was draining the battery. Had been told to change the alternator, sijui switch box…blah blah… Sadly, no mechanic could fix that, yet, and I found a DIY solution. I wrote about it here https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/pre-travel-inspection.19155/#post-368789
Meanwhile, test out for a parasitic drain. If it aint that, then go for more tests

The mech told me that some diodes za alternator nilikuwa zimechomeka…ameunda. The car is working. I think it is the problem you are talking about. I am not car savvy Sana but that is what the mech told me