Masaibu ya Ndugu Kuria

I once was a don in those locality.

2 Likes

nnnnnnnnnoma sanaaaa

1 Like

:D:D:D:Dā€¦hekaya moto kama pasi.

Kuria I would like to meet you just to listen to your storiesā€¦ very interestingā€¦

1 Like

:D:D:D:D Hehehe noma sana

1 Like

Kuriaā€¦two right turns will most likely take you back to a point adjacent to where you were. So Ni Kama wewe ulifanya three right turns ukakuwa Kama yule jamaa aliiba ostrich eggs kwa Ile movie ya the gods must be crazy.

3 Likes

Mujamaa hebu check tena hio palaglaph

Ama unataka @introvert alete sketch ya hio rectangle ndo uelewe;)

3 Likes

Hio mtaa hapana mchezo

One talent I had was kukimbia though sai nimerust siwezani nayo

Soon mujamaa

Heheheā€¦ Bado nachora superman akirarua mabati kama karatasi.

2 Likes

Lakini I hope hiyo coitus intarrapchon haikuwa chanzo chako cha ku wank now that ka shoti ya pili kalirudi kwa makei.

1 Like

Bado nangoja Purity aniletee ule cuzo wake laptop hivi

Hehe

Inaeza happen, it was less than an hour from ile time niliingia hapo down na already map ilikuwa corrupted

So unaelewa hizo area mpaka pale namba 10

I should be coming to Mombasani. If you will be my tour guide, hekaya utapata kibao and maybe tutengeneze ingine pamoja.

Hehe ā€¦ Tunaingoja kwa hamu na gamu

1 Like

:D:D:D

@kush yule mnono Kuan vile hizi hekaya unaongezanga a tincture of iodine. Unakuwanga ukikimbia kwa zote na hushikangwi. Kwani what fat man are you?

6 Likes

Hiyo area yote kuanzia mugumoini, Nigeria ,bonde,kwa chifu zilikuwa Kati ya strong holds.hehe
I respect your guts man,you donā€™t go messing in the ghetto if you ainā€™t aā€™citizenā€™.:D:D:D:(

1 Like

Fain heck-a-yeah!

1 Like

:D:D:D:D:D:D

Hehe. Like I said hapo juu ā€¦ kukimbia was my talent back then. If I was from western I would have made a very good night runner kama @Mundu Mulosi :wink:

Naona unaelewa hizo ma.area mujamaa. I was a mischievious boy back then.

1 Like

@kush yule mnono, ulimanage kuretrieve avunja?
[ATTACH=full]42061[/ATTACH]

6 Likes

hehe iyo sheng joā€¦nice hekaya