Mashabiki wa Nchini Mexico waenda Russia na picha ya rafiki yao aliyekatazwa kwenda Russia na mke wake

Umeona eeh!Hii bonge la point nyingine,ni kweli wanawake sometym huwa mnaogopa kivuli chenu wenyewe na kuwawazia visivyokuwepo waume zenu.Sijui nn huwa kinawakumba aisee.

Kuwaingilia kivipi sas umeshaniamisha kimawazo hapa kwa ilo neno.

wabongo mapenzi sifuri

Kabisaa yaani

Karibu sana mwana Villager

Hilo ni jambo la kihistoria kuwa afrika uanaume ni ubabe!!ila kwa wenzetu wazungu hakuna kitu kama hicho!!

Asante Elder

Hata sijui

Hamna sehemu hapa bongo wanabadilisha jinsia

:cool::cool::cool::cool::cool::cool:salama angekua kashabadili

Anatamani kuwa mwanaume?

Mnoo

Hahaha Mexico ni wadedli sana:D:D:D

Angejua jinsi Mwanamke ndio unayefaidi sana mambo ya jukwaa la wakubwa asingetamani hivyo:D:D:D:D:D:D

Waafrika tuna definition tofauti ya love

Baki hukohuko sweetieee ndio utakua rafiki wa kweli wa wanaume