Matatu business

i hope this is a joke:D

it’s supposed to be 7-10 years.

I have some. Took 4 years. NOW AM selling.

Kitu ya Kwanza, Usikubali Sacco ikupatie dere… lipa deni zote za Sacco na NTSA na insurance on time…

Pili, hakuna kukomboa dere akipata traffic offence related to driving,

Tatu… Kuwa na mechanic/ garage/ breakdown on call… Na wewe ndio unamlipa direct kutoka kwa mfuko yako sio dere akalipie…

nne, dere ako na strike tatu pekee za kimakosa… On 3, anapeleka gari parking halafu akanyage kubwa kubwa…

Tano, weka wakili on payroll… gari ikishikwa yeye ndiye anaenda kumenyana na wale pamba hawataki rwabe kwa ground.

sita, hiyo pesa unaletewa ya mat. isikuwe ndio primary income na usiiangalie na tamaa… Kula mbili weka tano…

Saba, biz ya matatu unafanya kama hizo biashara zingine zinafanya akili yako imekuwa bongo lala…na sasa unataka kuchangamsha neurons zisishike ugonjwa za kuzembea kichwa kama Alzheimer’s hivi

Hapo kwa wakili sija shikanisha

tell us more about the macademia business

Hii, piga safari kwa kijiji, uone how old smart men are doing it.

Whoa! Cool.

Yaani unaskizana na lawyer, anapokea retainer either monthly or as agreed, kazi yake ni kuenda kutoa gari kwa station ikipata kesi…

Lmao

Literally speaking ,if you are not going to manage your matatu directly na ukiwe ground if shitty stuff happens (cops,garage,sacco issues etc) and you don’t have any partner or mentor you can trust to do the leg work for you-this biz is not for you,period. There is a culture of “eating literally” on any opportunity from your vehicle hustle to an extent you seem to be the last one to get it’s benefits from. If you still have a heart of a lion and want to take a dip into matatu shark waters,start by choosing really well the right route and Sacco,most of your problems start there! Then avoid relying on it for your domestic expenses-this is one of the killer in this business. If you can’t manage it’s cash flow then you can as well forget getting into it via a loan. This business is ruthless and needs ingenuity to succeed,would recommend embedding yourself with a person with a matatu for three months minimum to understand real issues practically and where your hustle to be really can make you rich or broke.