Match day 14- Remember to predict

manze mbuyu asiweke Elneny jo. Alafu pia asichezeshe Ramsey…aweke Iwobi instead

Elneny sina shida na yeye. Ramsey ndio swara.

Huyo Alshabaab El neny pia kuna vile he can’t work well with Coquelin pale mid

I need to start drinking early today so that by 330 niko maji tukifungwa, I feel nothing:)

1 Like

wacha waswas

akiweka El neny, hapo tutakuwa tumecheswo @Jirani El classico Barça wanalambwa leo if game yao last weekend is anything to go by.

MSN kama watacheza Real Madrid hawatoboi

1 Like

am a Real Madrid fan…today is a lovely day football-wise

2 Likes

Spain niko Athletico, naona @vuja de amewekelea hiyo El classico draw, hiyo inakunywa maji hivyo.

2 Likes

man u draw ya 1-1 na everton

1 Like

Nimeweka 1-2 , lakini naweza badilisha, depending on ile squad itawekwa

Aka GG kwa watu wa ‘mchezopesa’ yaani sportmbesha.

1 Like

Wenye wameekelea tupa betslip tuone.
[ATTACH=full]71015[/ATTACH]

Cazorla out for three more months. Ramsey hii season asipoperform, auzwe.

I think it is unfair to call Chelsea and Man City plastic clubs. Those two La Liga giants spend a lot of money on players too.

1 Like

[ATTACH=full]71023[/ATTACH]

2 Likes

[ATTACH=full]71024[/ATTACH]

Leicester itaua Sundershamba

1 Like

Vile hii game inakaa, City wanaonekana kukulwa sweep. Lakini time will tell.

1 Like

Leicester away wako down