Maudhi ya JF TZ

kilichonichosha jf bongo ni jinsi admins wanaweza kutia mkono kwenye comment yako na kubadili maudhui
melo ajiangalie otherwise ataipoteza jf mazima…

sema mods wa huku hawajui Kiswahili vizuri

nami nimeanza kumchoka

Ina maana wangejua Kiswahili wangekuwa kama admins wa JF?

Ndio mkuu

JF ya nyumbani bado sina imani nayo sana kwa mwendo inayokwenda nao kwa sasa. Kule mi nafungua kusoma tu kisha narejea zangu zizini kt kwenye uhuru wa maoni.

Inasikitisha sana…

Cc: @Mahondaw