Mazda demio

Bajaj haiwezi enda Paris Dakar. Lakini Beast Sleeper Mazda Carol Bespoke inaweza enda mahali popote na inapewa heshima ya kifalme. Heshimu hiyo mashini kaka braza. Hii kitu kitu si kama hivyo vidudu vyako umeweka kwa gereji magonjwa chungu nzima

Isorait.
Kuja tuweke engine transplant ikuwe na engine ya TVS (one on each wheel).
In other news nisaidie kuroga jangili fulani imeibia Ochi towel shuleni. Sasa anatumia T-shirt. :D:D

1 Like

Hahaha! My friend Ochieng infaa umwambie maisha huwa hivyo. Anafunzwa life, kitambo afike umri wako atakuwa ameaktiwa sana, how he deals with it ndio muhimu. So nunulia kijana towel nyengine na umpatie advice.

Na Mazda yangu haina ugonjwa ifanyiwe transplant, acha madharau kaka, utajilaumu

Isorait. Ochi alijiconsole na chapo na kuku akasahau shida za towel.
Swali bwana @muria.mboco, to keep that average speed your rev counter needle lingered about how many rpm?
A small displacement engine run at high revvs for long and frequently won’t last too long.

Ushaanza lugha zako madharau kama kina @Deorro na lugha zao za uchawi wa kompyuta. Needle ni sindano, lindegerd ni au alikuwa golikipa huko uingereza. Displacement nayo ni kumwaga. Sasa nini unaongea hapa. Pia sisi tumesoma kaka braza

1 Like

Does it mean if I engage a higher gear and rpm on high I am damaging the engine? My kapremio is becoming slow na I don’t like it when a demio overtakes me esp while climbing. So, I engage gear 2 to sprint. Nafanya mbaya?

1 Like

Hufanyi mbaya.
Gearing down to overtake is standard procedure.
Thing is most cars have a red line in the rpm counter.
How often the RPM needle crosses that red line says a lot about your driving style and engine life.
Hiyo lack of power could be due to many issues. Ambia Mzee Gashui akupatie hall pass tunagalie hiyo gari.

3 Likes

Makaribisho ya boarding school. In class 5 I must’ve ‘lost’ at least 30 pairs of socks. Pole.

1 Like

hii carol ni 658cc

1 Like

Mbosi weee I got this small car for reason, iko E34 hapa which takes like forever to get to 120kph but once it gets to 150 200 revs rest at 3k

2 Likes

@muria.mboco hizi guts za picha at that Speed unatoa wapi? Niko na light skin ananikula kichwa nipee tips za kumalisa uoga

Tumia aerial

Kwani wewe ni wa mumui

5000rpm, that was testing the engine,
Inaitwa kutafta ugonjwa on these “new” Japan imports… Some don’t even make it past Taru.

Ile ya mark x.

1 Like

Hahaha! Wacha ujinga braza!

:D:D
Nimewacha bas.

1 Like

Hii ndio beast sleeper bespoke Mazda carol?[ATTACH=full]83017[/ATTACH][ATTACH=full]83018[/ATTACH]

Wah!! si ni hapo tu visions? Unajua mbini farm?

1 Like

:D:D:D