Mboch mlunje,never again

How?

Pole kwa masaibu yaliyowakumba ,lakini kwa hayo yote, sukari 6kg mnapeleka wapi? Huyo mwizi amewatenganisha na ugonjwa mbaya, next year punguzeni matumizi ya sukari.

Violence, on Yeshua’s born day?:D:D:D:D

very petty couple ama nimashida iko kwenu mingi,?

Hehe no.
Si unajuwa lazima ningeambiwa hiyo stori. Evidence ni muhimu so alipigwa picha kadhaa.

Ghaseer.

Meffi

@unataka kujua ili
?

Too much sugar buana

What the hell do you do with 6kgs of sugar FFS?

Si ni wewe umeleta story hapa sasa umeanza kuringa nayo?

Ilikuwa imenunuliwa wakati tofauti,i think she used to take and hide

ni yeye ame disappoint,karibu niseme arudishe hiyo christmas gift…na kama ameiba siwezi trust mwingine,she was good at her work

Alienda nazo ngotha na nguo zingine za madam tulichukua and am not sure tutazivaa tena

Its a part time thing banae

OK.
Tuseme tu manyahunyo zilitembea

Perishable stuff unamwachia…but nguo hapana…zinaweza fanyiwa mazingaombwe

She stole and kept it ndio ika accumulate to 6kgs otherwise sisi sukari 2kg inasukuma more than 2months tukiwa na madam…We bought sugar coz of the mboch na wageni

Hata Mimi nilioshwa vibaya sana na mboch mluhya. Haki hii watu iko shida mingi sana.

Kwani wewe hutumii sukari?