mbona huku hakuna love connect?

Nipo jamani, kwema?

Za uzima ni poaaa… Vipi wewe hujambo

Kwema sana Shem, umeadimikaaa

Sijamboo…nipo hapa nasubiri love connect:D:D:D:D:D:D:D:D

Mimi nipo humu humu sema tunapishana tu shem, siunajua nakesha majukwaa ya wakenya bado natafuta ile kitu

Hahaha
We tupia popoteee!! Hivi huna mbebez wewe

Hahaha
Sitaki ugomvi na mdogo wangu mieeee… Si unamjua lakini

Hahah!!

Kwakweli ngoja tuyaache tu mana yataleta mizozo bure

Dini inaruhusu hahaha

Hahaha

Aiseee

Nin sasa…

Halafu sijamuona huku ujue… Yuko wapi bongo movie wako

Nimemkataza…yupo kwenye maternity break

Hahaha
Kamkete bwana, pm si zimerudiiii kampe link akuje

mule hatapaweza maana kiswahili si kiswahili kingereza si kingereza full mkorogo

umeamua kujishtukia mapemaaaaa na ikidoda iyo pm utuambie hahaha

Ha ha haaa…sifunguagi…nahesabu tu
vinamba

Chibonge

o

Humu ni ruksa hata kutongoza Moderators…

Cc: @Mahondaw