Mbowe adondoka ghafla,kila mtu analia,akimbizwa Muhimbili

Hizi habari zingefurahisha kama ingekuwa “jiwe limeanguka ghafla na kukimbizwa Muhimbili”.

Hii vita sio ya mchezo

Kwa hiyo unatuambia kuwa mumesha mlisha sumu?

tatizo habari za msaga sumu haziaminiki

Sawa,pole yake kwa kufiwa…

Pole zake. HV huku hakuna update???

kweli huku tuko ukimbizini

Augue pole

Nadhani kamanda ana fatigue…
Achukue likizo apumzike.

Bashite kamshindwa TL now kahamia kwa Mbowe…tutamnyonya Kalio…

Pole yake
Nalog off

Pole yake sana…

Cc: @Mahondaw

Ndio stone ehh??

Pole kwa mbowe

Kunyonywa kalio ndiyo starehe yake.

Miss you too mama,umetukimbia mama,nilimuuliza mzee akanihakikishia lazima urudi Asap ,furahi sana kukuona

Ahhha hahaha aisee

A

Ahhha hahaha

Gentafake

pole kwake kamanda Mungu ampe wepesi apone haraka