Ati majirani wanataka maandazi ya nyama
Aisee…
Wabongo ni wajinga ata blood test walianguka.
Sema.Uko chonjo?
Wrong forum
Mi utani wangu nitapigwa ngumi
Chonjo ni chooni ama?
Gentleman wa Kenya anang
inamaana tulipata negative?
:D.Chonjo ni kukua alert.
Lugha gani hiyo unaandika we mkeii? Kukua alert ndo nini? Tuongee kiswahili sanifu au kiingereza sahihi
Mwalimu Nyerere dared Mzee Kenyatta back then akapewa sweep ya ‘Man eat nothing society’
Utazoea.
Mnanichanganya sana
Ahahaha!! Yaani hadi nimecheka mbele za watu due to this funny and comedic gold. I didn’t see it coming!
Tell you what bae… kwenu ni wachafu hadi nzi huvaa ndala (slipper)…!
Good one.
Baba yenu ni mrefu hadi huwa mnampa ugali kwa manati! Ahahaha!
Hahah!!
Ahahaha!! Oya Waite na wana wengine tena…we got a job to do here.!
[ATTACH=full]176438[/ATTACH][ATTACH=full]176439[/ATTACH]