Mdomo wangu umebaki wazi..... tehteehhh

Woyoooooooo kama tupo nyumbani kwetu

Kwa kiasi chake nimeanza kuzoea shost

Hakuna jinsi inabidi tuzoee tu hatma yetu bado haijulikani

TISIARAEI wamejua kututenda kwa kweli

Sanaaaa wametufanya tumekuwa wakimbizi ghafla

nipm jamaa am serious kidogo