Mechanics have no hearts

hao watu wanakuwa hivo. hawajui aesthetics. Ata watu wa rangi inabidi uwaambie wasi weke gari filler unnecessarily. scratch kiasi wanajaza filler gari inakaa potato.

Juzi nimepeleka nyingine ibadilishwe radiator juu ya heating problems…baada ya kuichukua nikaona temp gauge haifiki nusu imekwama hapo robo kupigia jamaa simu ananiambia alitoa thermostat juu haihitajiki huku africa juu ya joto…nikamuuliza juu pale japan summer temperatures zinafika 40+, huwa wanatoa hiyo thermostat alafu wanairudisha winter?

Thermostat sio ya winter ama nini, ni ya kumaintain optimum operating temperature. Gari inaperform poa ikiwa hot to a certain extent(Otto cycle). Hiyo gari yako sasa itakunywa zaidi. Hizi quacks ndio hufanya mtu ata asifikirie kurepair gari.

Hapo naeza recommend mec huekea nganya hewa…lakini hapo naona iko tu sawa

Thats true jamaa aliirudisha the very same day