Mega Traffic Jam: Gilgil

Hii jam ilianza saa nane jana bahati tuliponyoka, saa hii kutoka kikopey hadi naivasha hakuna kusonga.

WHAT IS CAUSING THIS???

Bado watu wako hapo? Ni jam ya accident ama nini?

[ATTACH=full]251958[/ATTACH][ATTACH=full]251959[/ATTACH][ATTACH=full]251960[/ATTACH][ATTACH=full]251961[/ATTACH][ATTACH=full]251962[/ATTACH]r
Reporting live from the ground.

Hakuna accident ujinga ya wakenya na overlapping na ilianza jana mchana nikiona.

weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeewe! wacha tu. poleni. pambaneni!

Nkt…mafala

End month and school closings combination.

Music festival pia, watoto wa shule wamelala kwa barabara.

Created by the state. So we can justify its plan for high toll fees for a dual road.

Conspiracy theories have begun.

Hakuna kitu kama hio. Tuko na ujinga sana halafu tukiangusha kitu ipasuke we try to look at someone to blame. Kitu kidogo tu ifanyike mbele yako on the highway and there’s a pile up of 10 vehicles unapata washenzi kadhaa wanaoverlap as if nyinyi wengine you’re of no importance. Tuendelee hivyo hivyo mpaka tupate akili.

Bahati yako. Feels good to escape such stupidity

For any ktalker hapo i can offer helcopter fly.

The government said the jam was from an occasioned renovation at Gilgil weighbridge. Hio ni kitu planned kabisa to put it in people pysche to have this problem end be ready to pay expensive tolls to get an easier smooth and jam-free ride from Nairobi to Nakuru.

:D:D:DSCHOOPIT COP…ulipiga jalopy yangu picha bila kuniomba ruhusa…