Minuno ya wanandoa wakiwa chumbani wakitoka nje wanajichekesha

ohoooo wamechokonoa nyukii

Hahaha… mimi napendaga zile kash kash… kwa hiyo hata kama ni ugenini, siachi

Hatushindwiii…kitaeleweka tuu

ndiyo maana waswahili wanasema siri tunasema na bayana tunaficha.

Hayo ndo mahaba sasa

Kimsingi yote maisha, thats how people do live and balance things. Everyone is acting his own life scene.

Siri za ndani zikivuja ujue ameku snitch Mkeo/Mmeo.

Mkuu chenga usitupe, zitunze utakuja kula wakati wa njaa tena. :wink:

ukiolewa utayajuaga

Sasa tununie na ambao hawajatuudhi?

Huo unafiki sina. Nikinuna ndani ujue na huko nje sitakuchangamkia. Naweza kuongea nae lkn si kama kawaida. Kwa waliotuzoea ni lazima watashtukia

Hivi mmewezaje kuja huku na majina yenu ya Jf? Mimi imenigomea imebidi nitafute username nyingine.

pole, nmecreate tu account ikakubali user name ile ile

Mambo yao waachieni wenyewe…

Cc: @Mahondaw

Maisha ya [COLOR=rgb(209, 72, 65)]kuigiza hayafai

wanajua kuficha shida zao

Mimi naamini matatizo ya wawili yatapata ufumbuzi kutoka kwao, pale yanapozidi bora kutafuta ushauri kwa watu wengine. Ila si kila mtu wa kumueleza matatizo yako.

Ungemuuliza papuchi yake anaikuna vp sasa???
Ana

https://encrypted-tbn2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcReh8uIENkubOqD2bGUQsocg8BCqW1Coes4XfXulfWd9qju4Msbcb54l-JWkA
Au mchepuko??