village idler niaje
Hawa wanakaa kunuka nyau
Hapana, SJ iko na waschana warembo kuwaliko hao. labda useme wanaka goodhope lodge riva rod
mecho imechafuka sana
[ATTACH=full]242181[/ATTACH]hio vumbi yote kwa mguu alafu aruke kitandani? zii nikuoga kwanza
Weka yako mzuri.
Jeeesus is looord…wololoòoo
Kwani dadako ndiye alishinda, venye amecatch?
Confessions of a poko hitman:-
Wakati nilikuwa reckless na kupenda pokos, one time nimeanua some momo while on an out of town endeavor. Since ilikuwa mapema bado na nilikuwa na pesa haina kazi, nikasema tujibambe kidogo. Only problem ni pubs za huko zilikuwa za vumbi kama hii hapo juu. Momo nayo kuona Siku imeingia ikajiwachilia. Dancing like an inebriated witch.
Needless to say, at the end of the night out, alikuwa amesweat na amejaa vumbi. Sasa drama eti tukifika kwa room, ng’ombe inataka kuruka kwa bed hivyo. Mimi nani. Ultimatum ilitolewa. Either uoge ama ujitoe. Never felt sadder.
Ata nime Ona kunguru ya Nairobi Kitale danguro…
hawa wako sawa nyinyi mnasema they are not good i doubt you have any women in real life, mmezoea instagram oics
Beauty lies on the eyes of the beholder
Lakini hizo areas za Kitee, Isinya, Rongaa…madem huwaa wanono.
Halafu why are there two No. 1s?
Coz it ain’t the same contestant.
Applaud organizers for giving us something different from the wannabes all over tao and social media.
[ATTACH=full]242292[/ATTACH]
pole buda,hakuna kitu inauma ka kulala gesti pekee yako.Usiku haiishagi:D:D:D