Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu anauguza gastric bypass

Hapo chakula kinakuwa hakipiti katika tumbo mkubwa?

Umenikumbusha mambo ya chips za kuhesabiwa hahaaaaaaa

Hivi haiwezekani tena kurudia hali ya awali kabla ya kukata utumbo?
Tatizo la Wema nae mroho,wenzie wanajua kuvumilia kula wala husikii wakihangaika hovyo.
Yeye juzi tu tayari anahaha!

Tena ukisikia njaa unachemsha mayai mawili na black coffee no sugar

mkustafa hassanal so alifanya akapungua lakini nyama zinatepeta zinafungwa kwa mkanda na kamba

Ndo maana yupo ccm akili ndogo sana

Kinapita lakini utumbo umepunguzwa size, umekuwa kama wa mtoto

Watu wametoka mbali, baada ya kufundishwa kuvaa viatu vya CL na kunywa moet na kujua handbags za Lois Vuitton

Wanaofanyiwa wana hela zao wakipona wanakwenda kwa plastic surgeon kupunguzwa ngozi inayobwebwea

Shida zote za nini? Namshukuru Mungu kwa kuniumba kimbaumbau.

Kuna jamaa mmoja namjua yeye kazaliwa hivyo na ni dokta jamani anateseka hadi huruma! Hana raha kabisa
Na mimi nilivyo mroho nisipoweza kula maisha hayatokuwa na maana hahaaaaa.

Uzee haukimbiwi

Pole zake haya mambo haya

Huyu binti atakuja kuwa kama Maiko Jackson. mara makalio, mara anakata utumbo.

Duh!, hatari sana…bado anautaka u miss Tanzania 2020??, wanawake mnavyohangaika ni shidaaa, azuie na miaka isiende mbele, maungo yasikomae hahaha

anataka arekebishe akawakomeshe insta!!! Huhuhu:p:p:p

Anaamini kuttombana sana ni mazoezi tosha!

Utumbo mkubwa ndio una ongeza unene au mie ndio mshamba wa digestive system

Kumbe anapenda sana huu mchezo

Aliposema Bypass nilifikiri kubypass Air…!!!