Mke akiwa Nurse na Mume Dr ndoa itadumu lakini mume awe Nurse mke Dr patachimbika why?

Kwa sababu wanawake mnadharau ndiyo maana…

Cc: @Mahondaw

Tihtihtih…wanawake tulio wengi tukiwa ofisini sasa!!! wengi wetu tuna roho mbaya sijawahi ona

Mmh!