MKUTANO WAVURUGWA WA NASA

Unataka kuenda forest gani?Karura ndio iko karibu.

6 Likes

Tangulia wewe, tumbaff

3 Likes

[B]Wote wanahusika na upelelezi.
Jasusi…Spy
Kachero…Detective
Mara nyingi majina haya huwa yanatumiwa kwa namna moja.
Tofauti kubwa ni ‘Maafisa wa jinai’ hutumiwa kupeleleza makosa ya jinai(crime). Kwa mfano polisi wa Kawaida na kitengo cha jinai kama DCI cha Muhoro ilhali majasusi hushughulikia sana maswala ya usalama wa kitaifa ndani na nje kama vile CIA.

[/B]

4 Likes

Ama Nyaribari chache forest, kama iko

1 Like

Ukimpata Matakwei, muulize yaliyompata.

3 Likes

Though I think hiyo ni reserve

Hahhahaaa,reserve ya nini?ya kuni ama?hata kama ni ya kuni si bado ni forest???

@Art = mischieth = @Mzee mzima

Keyboard warriors wakutane huko. Arrows left, right, forward and backwards hakuna hakuna ku.press Backspace

3 Likes

I pity my country right now…

Afande meza dawa ya minyoo urudi kazi.

1 Like

Hehehe nimefungiwa kamnyweso for the next ten days courtesy @Luther12 ,meff yeye.

Askari aangamize ascaris…

4 Likes

Hehehe.
Meffi saidi.

1 Like

Jasusi = Spy!

Kachero = Detective!

1 Like

Why?

1 Like

Hama uende Cannan

Where is Kalonzo?! Why is he MIA?

Simple, both divides seem to be calling out for a war.

Kila saa nakwambia uwachane nayo husikii. Chako ki motoni.

1 Like